Women's Health Needs STUDY_SCREENER

Women’s Health Needs Study: The Health of US-Resident Women from Countries with Prevalent Female Genital Mutilation/Cutting (FGM/C)

Att G3 Initial Pilot Screener WHNS_Swahili

Women's Health Needs STUDY_SCREENER

OMB: 0920-1264

Document [docx]
Download: docx | pdf



Attachment G3. Women’s Health Needs Study Questionnaire (Swahili translations)



Section

Question

English Items

Translation Section

Question

Translated item

Screener Cover Page

OMB notice

Form Approved

Ukurasa wa Kwanza Mhoji

Notisi ya OMB

Fomu Iliyopitishwa



OMB Number:



Nambari ya OMB



Expiration Date:



Tarehe ya Kuisha

Screener

Survey Title

Women's Health Needs Study

Mhoji

Mada ya Utafiti

Utafiti wa Mahitaji ya Afya ya Wanawake







Screener

OMB Burden Statement

Public reporting burden of this collection of information is estimated to average 1 minute per response, including the time for reviewing instructions, searching existing data sources, gathering and maintaining the data needed, and completing and reviewing the collection of information. An agency may not conduct or sponsor, and a person is not required to respond to a collection of information unless it displays a currently valid OMB control number. Send comments regarding this burden estimate or any other aspect of this collection of information, including suggestions for reducing this burden to CDC/ATSDR Reports Clearance Officer; 1600 Clifton Road NE, MS D-74, Atlanta, Georgia 30333; ATTN: PRA (0920-xxxx).

Mhoji

Ilani ya Uzito OMB

Muda wa kuripoti mkusanyiko huu wa habari unakadiriwa kuwa dakika 1 kwa kila jibu, inajumuisha wakati wa kupitia maagizo, kutafuta rasilimali zilipo, kukusanya na kudumisha data inayohitajika, na kukamilisha na kupitia mkusanyiko wa habari. Wakala hafai kuendesha au kufadhili, na mtu hahitajiki kujibu mkusanyiko wa maswali isipokuwa inapoonyesha nambari sahihi ya OMB. Tuma maoni kuhusiana na kadiri hii ya ilani ya uzito au kipengele chochote kuhusu mkusanyiko huu wa habari, ikijumuisha ushauri wa kupunguza uzito huu hadi CDC/ATSDR ofisa wa kukamilisha; 1600 Clifton Road NE, MS D-74, Atlanta, Georgia 30333; ATTN: PRA (0920-xxxx).







SECTION A. SCREENER



SEHEMU A. SWALI



A

Screener 1

Have you previously participated in the Women’s Health Needs Study (WHNS)? Yes [END SURVEY]
No

A

Swali 1

Je, Umewahi kushiriki katika utafiti wa Women's Health Needs (WHNS)? Ndio [Kamilisha Utafiti]
La


Screener 2

Which of the following languages do you speak?


Swali 2

Je, unazungumza lugha gani kati ya zifuatazo?



Amharic
Arabic
English
Oromo
Somali
Swahili
Tigrinya
Other, please specify:



Kiamhari
Kiarabu
Kiingereza
Kioromo
Kisomali
Kiswahili
Kitigrinya
Nyingine, tafadhali fafanua:


Screener 3

Which language would you prefer to use for this interview? [INTERVIEWER NOTE: IF YOU DO NOT SPEAK THE LANGUAGE PREFERRED, MAKE NOTE AND END INTERVIEW].


Swali 3

Je, ni lugha gani ungependa kutumia katika utafiti huu? [KUMBUKUMBU YA MTAFITI: IWAPO HUZUNGUMZI LUGHA INAYOPENDELEWA, TIA DUKUKUKU NA UKAMILISHE UTAFITI


Screener 4

In which country were you born?


Swali 4

Je, ulizaliwa katika nchi ipi?



Don’t Know
Prefer not to answer



Sijui
Sitaki kujibu


Screener 5

Have you ever lived in any of the following countries?


Swali 5

Je, umewahi ishi katika mataifa yafuatayo?



Yes No



Ndio La



Egypt
Ethiopia
Kenya
Somalia
*



Misri
Ethiopia
Kenya
Somalia
Tanzania
Uganda


Screener 6

In which country was your father born?


Swali 6

Je, babako alizaliwa katika nchi ipi?



Don’t Know
Prefer not to answer



Sijui
Ningependelea kutojibu


Screener 7

In which country was your mother born?


Swali 7

Je, mamako alizaliwa katika nchi ipi?



Don’t Know
Prefer not to answer



Sijui
Ningependelea kutojibu


Screener 8

Has your mother lived in any of the following countries?


Swali 8

Je, mamako ameishi katika mataifa yafuatayo?



Egypt
Ethiopia
Kenya
Somalia



Misri
Ethiopia
Kenya
Somalia
Tanzania
Uganda


Screener 9

How old are you?


Swali 9

Je, una miaka ngapi?



Under 18 years
18-24
25-29
30-34
35-39
40-49
Over 49 years
Prefer not to answer



Chini ya miaka 18
18-24
25-29
30-34
35-39
40-49
Over 49 years
Ningependelea kutojibu

*Other countries depending on expected population of sites



File Typeapplication/vnd.openxmlformats-officedocument.wordprocessingml.document
AuthorSnead, Margaret C. (CDC/ONDIEH/NCCDPHP)
File Modified0000-00-00
File Created2021-01-15

© 2024 OMB.report | Privacy Policy